Mwanamitindo kutoka Marekani Jessica Gomez ambaye sauti yake ilisikika mwanzoni mwa wimbo wa ‘rapa’ Rick Ross aliomshirikisha Jay-Z uitwao ‘May Back Music’ ameweka wazi kuwa hakuwahi kufikiria kama sauti yake itatumika hadi leo.
Mwanamitindo huyo mzaliwa wa #Australia ambaye kwa sasa anaishi Marekani amesema sauti hiyo aliingiza akiwa na rafiki yake miaka 10 iliyopita.
Hata hivyo alieleza wakati walipokuwa matembezini na rafiki yake walikutana na #Ross, #Jay na kuwaomba waingize sauti katika wimbo wao, huku akidai kuwa hakuwahi kufikiria kama sauti yake itatumika hadi leo.

Leave a Reply