Watu wengi wamekuwa wakichukizwa na matokeo wanayopata baada ya kuposti picha au video kwenye mtandao wa Instagram kutokana na wanachoposti kupungua ubora wake wa mwanzo.Hivyo...
Baada ya kushiriki kuandika nyimbo za mastaa wakubwa duniani kama Beyonce na Rihanna, hatimaye Temilade Openiyin ‘Tems’ kutokea nchini Nigeria ametangaza kuwa mwak...
Baada ya kuondoka na Tuzo ya Wimbo Bora wa Mwaka katika Tuzo za Grammy 2024 na sasa mwanamuziki Billie Eilish, ameshinda tuzo ya wimbo bora wa mwaka katika Tuzo za Oscar 2024....
Mwigizaji maarufu kutoka nchini Ireland, Cillian Murphy ameshinda Tuzo za Oscar 2024 katika kipengele cha Mwigizaji Bora wa Kiume, tuzo zilizotolewa usiku wa kuamkia leo katik...
Krystyna Pyszková(24) Miss Czech Republic 2022, ndiye mshindi wa taji la Miss World 2024 shindano ambalo lilifanyika Mumbai, India usiku wa kuamkia leo, huku nafasi ya ...
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amesema huwa anakataa kupokea mahari kwa ajili ya binti zake, badala yake hulipa mahari kwa familia za vijana wa kiume wanaooa kwake.Hii ni kin...
Mchekeshaji na muigizaji kutoka nchini Gladness Kifaluka maarufu kama Pili Wa Kitimtimu ameweka wazi kutaka kuinua wanawake wenye vipaji vya uchekeshaji.Gladness ameyasema hay...
Baada ya kutangaza kuvunja mkataba siku chache zilizopita na ‘timu’ yake ya zamani ya Singida Fountain Gate, kiungo Bruno Gomes ameripotiwa kurejea nchini kwao na ...
Baada ya kupokea kichapo cha ‘Knock Out’ (K.O) bondia Francia Ngannou amewaomba radhi mashabiki zake kufuatiwa na kichapo alichopewa na Anthony Joshua, pambano lil...
Emmanuel Nwude ni mmoja kati ya watu waliaondika historia kubwa nchini Nigeria kwenye masuala ya utepeli. Taarifa kutoka Daily zinaeleza kwamba Nwude ambaye aliwahi kuwa mkuru...
Mwanafunzi mmoja aitwaye Fusha Sakai kutoka Chuo Kikuu cha Umma cha Osaka kilichopo nchini Japani, ameibua hisia za wengi kwenye mitandao ya kijamii baada ya kutengeneza na ku...
‘Roboti’ wa kwanza wa kiume kuzinduliwa nchini Saudi Arabia aitwaye Muhammad azua gumzo kupitia mitandao ya kijamii baada ya kumpapasa ripota wa kike wa runinga ya...
Bondia maarufu kutoka nchini Cameroon Francis Ngannou amechapwa na Anthony Joshua kwa kumpiga Knock Out (K.O) katika pambano la uzito wa juu lililofanyika Riyadh, Saudi Arabia...
Mwanaume mmoja kutoka nchini India aitwaye Raj Kumar (45) amezua gumzo mitandaoni baada ya madaktari 11 kutoka hospitali ya Sir Ganga Ram kufanikiwa kumpandikiza mikono.Raj Ku...