12
Lil Yatchy: Muziki wa Hip-hop una hali mbaya
Rapa kutoka nchini #Marekani, #LilYatchy amedai kutoridhishwa na uelekeo wa muziki wa Hip-hop duniani na kusema kuwa muziki huo upo kwenye hali mbaya. ‘Rapa’ huyo ...
11
Baba mzazi wa kocha Nabi afariki dunia
Aliyekuwa ‘Kocha’ Mkuu wa ‘Klabu’ ya Yanga Nasreddine Nabi amefiwa na baba yake mzazi asubuhi ya leo.Taarifa ya kifo chake imetolewa na aliyekuwa Msema...
11
Montana apewa mnyama pundamilia kama zawadi
‘Rapa’ kutoka nchini #Marekani, #FrenchMontana amekabidhiwa mnyama aina ya Pundamilia kama zawadi katika siku yake ya kuzaliwa.#Montana amepewa zawadi hiyo na mara...
11
Dereva taxi awanyoa abiria kwa kushindwa kulipa nauli
#Derevataxi mmoja kutoka nchini Afrika Kusini ambaye hajafahamika jina lake amewanyoa nywele wanawake wawili ambao ni abiria wake baada ya kushindwa kumlipa nauli.Tukio hilo a...
11
Robertinho akosoa usajili Simba
Aliyekuwa ‘Kocha’ wa #Simba #Robertinho amekosoa usajili uliofanywa na ‘klabu’ hiyo kwa kueleza kuwa usajili uliofanywa katika dirisha kubwa haukuwa na...
11
Mama Dangote amtaka msanii mpya wcb kutolewa sifa, kunywa pombe na kuvuta sigara
#MamaDangote ambaye ni mama mzazi wa nyota wa muziki nchini #DiamondPlatnumz, amshauri msanii mpyaa anayetarajiwa kutambulishwa No...
11
Rema, Wizkid na Diamond waambulia patupu Grammy
Baada ya kufanya vizuri kupitia ngoma zao mbalimbali lakini wakali hao kutoka #Afrika, ambao ni #Diamond, #Rema na #Wizkid wameambulia patupu katika kuwania Tuzo za #Grammy 20...
10
Mpishi kutoka nigeria aanza kupika kwa saa 200 kuvunja rekodi ya dunia
Ikiwa ni siku chache tuu tangu #AlanFisher kuvunja rekodi ya dunia ya #Guiness kwa kupika masaa 119 na dakika 57, mpishi mwingine ...
10
Klaveness adai FIFA haitendi haki
Rais wa Shirikisho la soka nchini #Norway Lise Klaveness, amefunguka na kueleza kuwa Shirikisho la soka Duniani (FIFA) halitendi haki katika kuchagua wenyeji Kombe la Dunia.Ak...
10
Baba wa mcheza mpira Diaz, apatikana
Baada ya kutekwa kwa wiki kadhaa hatimaye, baba mzazi wa mchezaji kutoka ‘Klabu’ ya #Liverpool, #LuisDiaz amepatikana ambapo shirikisho la ‘soka’ nchin...
10
Yemi awasihi mabinti kuolewa na watu sahihi
Mwanamuziki kutoka nchini #Nigeria #YemiAlade amewashauri wanawake wasio na waume kuhakikisha wanafunga ndoa na wenzi sahihi na kuachana na mashinikizo kutoka kwa familia au m...
10
Kaizer Chiefs kuisaka saini ya Nabi
‘Klabu’ ya #KaizerChiefs kutoka Afrika Kusini imefufua tena mbio za kuisaka ‘saini’ ya ‘Kocha’ wa #FARRabat, #Nasreddin...
10
Rick Ross amtolea povu Jada Smith
‘Rapa’ kutoka nchini #Marekani, #RickRoss amedai kuwa amechoshwa na muigizaji #JadaSmith kutokana na kufichua maisha yake binafsi huku aki...
10
Morgan afichua sababu ya kuvaa hereni kila wakati
Muigizaji na #Producer maarufu kutoka nchini #Marekani, #MorganFreeman ameweka wazi sababu ya kila wakati kuonekana akiwa avaa hereni, saa na pete za ...

Latest Post