Bruno hana baya, Abadilishana jezi na chocolate

Bruno hana baya, Abadilishana jezi na chocolate

Mchezaji wa ‘klabu’ ya #Newcastle, #BrunoGuimarães ameonesha uungwana kwa shabiki aliyempatia chocolate kwa kumpa ‘jezi’ aliyokuwa ameivaa baada ya kumalizika kwa ‘mechi’ dhidi ya #AstonVilla iliyochezwa siku ya jana Jumanne.

Bruno alitoa ‘jezi’ hiyo wakati alipokuwa akielekea katika chumba cha kubadilishia nguo, baada ya kutamatika kwa ‘mechi’ ambayo #AstonVilla walipokea kipigo cha mabao 3-1.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags