Travis amtunuku mfanya usafi maokoto

Travis amtunuku mfanya usafi maokoto

Kama ilivyokawaida kwa wasanii kutoka nchini #Marekani kuwathamini mashabiki zao na hii imetokea tena kwa ‘Rapa’ #TravisScott ambapo alitoa pesa kiasi cha dola 5,000 ikiwa ni Zaidi ya tsh 10 milioni, kwa shabiki.

Hii inakuja baada ya shabiki huyo ambaye ni mfanyausafi wa ukumbi uliofanyika show hiyo kuendelea na majukumu yake ya kutoa uchafu, ndipo  #Travis aliamua kumlipa ili aendelee kuburudika katika show yake hiyo.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags