27
Hali ya bishara za nguo msimu huu wa sikukuu
Kama tunavyojua ni mwisho wa mwaka na kuna sikukuu kadhaa hapo mbele, ambapo watu wengi hujumuika pamoja kula, kunywa na kuvaa nguo mpya, kama ilivyo ada MwananchiScoop tumeam...
27
Nchi zenye mabilionea wengi mwaka 2023
Jarida la Forbes limetoa orodha ya mabilionea 2,640 duniani kwa mwaka 2023 ambao utajiri wao unawakilisha takribani dola 12.5 trilioni. Katika orodha hiyo Marekani imeongoza k...
27
Makabila ashusha mkeka wasanii wasio na matatizo
Mwanamuziki wa singeli nchini Dulla Makabila amedondosha list ya wasanii watano ambao hawana matatizo na mtu yeyote. Makabila kupitia ukurasa wake wa Instagram ame-share picha...
27
Kuwa na mwandiko mbaya ni ulemavu
Dysgraphia ni ugonjwa wa neva za binadamu kupata shida kugeuza mawazo yake kuwa katika maumbo mazuri ya kiuandishi ambayo wengi huita mwandiko mbaya. Wataalamu wanatafsiri hal...
27
Hawa ndiyo wasanii walionyakua tuzo nyingi mwaka 2023
Ikiwa tunaelekea kuumaliza mwaka 2023, wapo baadhi ya wasanii ambao wanatamani mwaka huu uishe ili wajaribu tena mwakani lakini wapo waliobahatika kuandika historia  kwen...
27
Roboti yamshambulia muhandisi
Mhandisi wa programu wa #Tesla kutoka nchini Marekani mbaye jina lake halijawekwa wazi amepata majeraha mkononi na mgongoni baada ya kushambuliwa na ‘roboti’ kweny...
27
Cr7 anaongoza kwa mabao 2023
Mchezaji wa ‘klabu’ ya #Alnassr #CristianoRonaldo anaongoza kuwa na mabao mengi kwa mwaka 2023, akiwa na umri wa miaka 38 Inaelezwa kuwa nyota huyo wa soka amefung...
27
Shakira ajengewa sanamu Colombia
Mwanamuziki kutoka nchini Colombia Shakira ajengewa sanamu katika mji wa Barranquilla ambako ndiko aliyozaliwa. Kupitia ukurasa wa Instagram wa Shakira ame-share picha na vide...
27
Matukio ya unyanyasaji yanavyochafua majina ya mastaa
Ukiangalia kwa jicho la kawaida na kufikiria kwa haraka  unaweza kudhani ni miyeyusho ya mashabiki kutaka kupita na upepo wa mastaa kwa kuwabambikizia kesi za unyanyasaji...
27
Messi aongoza kutafutwa zaidi mtandaoni 2023
Nyota wa ‘timu’ ya Taifa ya #Argentina na ‘klabu’ ya Inter Miami kutoka Marekani, #LionelMessi ameibuka kinara kwa kuwa ndiye mchez...
26
Asake amkumbuka MohBad
Mwanamuziki kutoka nchini #Nigeria #Asake, ameibua hisia kwa mashabiki katika tamasha lake baada ya kutanguliza video na picha mbalimbali za marehemu #Mohbad aliyefariki Septe...
26
Boss mpya Man United kuanza na wawili
Inadaiwa kuwa ‘klabu’ ya #ManchesterUnited kwa sasa ipo kwenye hatua nzuri ya kuwasainisha mikataba mipya ‘mastaa’ wao #VictorLindelof na Aaron Wan-Bis...
26
Kocha Klopp atimiza ndoto ya shabiki
‘Kocha’ wa ‘klabu’ ya #Liverpool, #JurgenKlopp ametimiza ndoto ya shabiki wa ‘timu’ hiyo raia wa #Ireland kwa kumualika kwenye viwanja vya ...
26
Anayeshikilia rekodi ya kucha ndefu aeleza changamoto anazo kumbana nazo
Diana Armstrong ambaye anashikilia rekodi ya dunia ya ‘Guinness World Records’ kwa kuwa mwanamke mwenye kucha ndefu za...

Latest Post