Baada ya miaka miwili Bieber aonekana jukwaani

Baada ya miaka miwili Bieber aonekana jukwaani

Mwanamuziki kutoka nchini Marekani #JustinBieber amefanya onesho lake la kwanza baada ya miaka miwili kuwa kimya bila kuoneka kwenye majukwaa.

Justin alipanda kujwaani usikuwa kuamkia leo katika show ya ‘Drew House’ ambayo iliandaliwa na Toronto Maple nchini Canada katika mji wa Toronto pia aliweza kutumbuiza nyimbo za zamani kama ‘Baby’, ‘Peaches’, na ‘Eenie Meenie’.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags