Muonekano wa awali  jukwaa la tuzo za Grammy

Muonekano wa awali jukwaa la tuzo za Grammy

Tukiwa tunahesabu masaa kuelekea kushuhudia ugawaji wa Tuzo maarufu za Grammy 66, na huu ndio muonekano wa ukumbi itakapo fanyika shughuli hiyo.

Tuzo hizo zinatarajiwa kutolewa siku ya kesho Jumapili Februari 4, katika ukumbi wa ‘Crypto.com Arena’ ulioko Los Angeles nchini Marekani, huku mshereheshaji wa Tuzo hizo akiwa ni #TrevorNoah.

Kwa #Africa Ma-staa waliotajwa kuwania vipengele mbalimbali katika Tuzo hizo ni Davido, Burna Boy, Asake, Tyla na wengineo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags