Joeboy ajiunga na warner music

Joeboy ajiunga na warner music

Baada ya kutemana na ‘lebo’ yake ya ‘emPawa’ mwanamuziki kutoka nchini Nigeria #Joeboy ameripotiwa kujiunga na ‘Warner Music’, akiungana na ma-staa kama #Diamond, Burna Boy, Ed Sheeran, Cardi B na wengineo.

Licha ya kujiunga na ‘lebo’ hiyo kubwa Joeboy pia amezindua record Labe yake aliyoipa jina la ‘Young Legend labe’.

Akiwa chini ya ‘emPawa’ Joeboy amewahi kuachia album mbili, na Ep mbili zikiwemo Magic And Body Soul na Somewhere Between Beauty, pia aliweza kuachia ngoma kama ‘All For You’, ‘Lonely’, pia amewahi kushirikishwa kwenye ‘kolabo’ na mwanamuziki Zuchu katika wimbo wa ‘Nobody’.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags