Kama kuna wasanii wengine wa Bongo Fleva wanaandikiwa nyimbo na kuzitendea haki, basi Nandy ni namba moja, hadi sasa ameandikiwa nyimbo zaidi ya 10 na wasanii wenzake zaidi ya...
Anaandika sana. Sioni mwenye uwezo huo kwa kizazi hiki. Anaandika mpaka kuandika kunamshangaa. Msikilize kwenye “Bakhressa”, “Kama Unamjua” ama rudi kw...
Tatizo ni kwamba kuna Diamond na kuna Naseeb. Lakini wasaidizi wa Diamond wanafanya kazi za Naseeb zaidi badala ya kufanya kazi za Diamond Platinumz. Fuatilia kwa makini, anac...
Beki wa pembeni wa ‘klabu’ ya #ManchesterCity #KyleWalker amekiri kumsaliti mkewe #AnnieKilner kwa kuzaa mtoto wa kike kwa siri nje ya ndoa.
Kyle mwenye umri wa mi...
Imezoeleka kuwa watu wengi wakipata pesa hubadili mienendo yao, na aina ya maisha waliyokuwa wakiishi mwanzo, lakini hii ni tofauti kwa Jeff Bezos, mwanzilishi wa kampuni ya A...
Kampuni ya teknelojia kutoka nchini China, ‘Betavolt’ kwa mara ya kwanza imetengeneza ‘betri’ kwa ajili ya simu janja ambazo zitakuwa zikidumu na chaji...
Beki wa ‘klabu’ #ManchesterCity, #RubenDias baada ya kuchana na mpenzi wake #ArabellaChi adaiwa kuwa kwenye mahusiano na muigizaji nyota kutoka nchini Ureno #Daiel...
Hatimaye bondia wa Tanzania, #HassanMwakinyo amefanikiwa kushinda mkanda wa ‘WBO’ Africa Middle Weight baada ya kumuangushia kipigo cha ‘KO’ ya raundi ...
Nyota wa muziki kutoka nchini Marekani #NickMinaj na Megan Thee Stallion wameingia kwenye bifu zito baada ya Nicki kufanya mzaha kuhusu mama yake Megani aliyefariki miaka sita...
Mkulima mmoja kutoka nchini Argentina, Pedro Martin aliamua kumuenzi marehemu mkewe aliyefahamika kwa jina la Graciela kwa kutengeneza umbo la Gitaa kwa kutumia miti ili mkewe...