Kuna Diamond na kuna Naseeb

Kuna Diamond na kuna Naseeb

Tatizo ni kwamba kuna Diamond na kuna Naseeb. Lakini wasaidizi wa Diamond wanafanya kazi za Naseeb zaidi badala ya kufanya kazi za Diamond Platinumz. Fuatilia kwa makini, anachofanya Mondi yeye ni kubeba mambo ya Naseeb na kuyageuza pesa kupitia tungo zake.

Wasaidizi nao wananata na ‘biti’ hiyo hiyo kiasi kwamba huwezi kujua kama ni wasaidizi wake au washenga wake. Ndiyo maana unakuta mambo mengi ya kujibiwa na mjomba wa Naseeb, yanajibiwa na meneja wa Diamond Platinumz. Hii imeenda.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags