15
TPLB yatupilia mbali rufaa ya mchezaji aliyempiga mwenziye kiwiko
Kamati ya usimamizi na uendeshaji wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB) imetupilia mbali rufaa ya ‘klabu’ ya #Yanga ya kutaka marejeo (review) ya adhabu ya mchezaji wao...
15
Mkubwa Fella: Walisema nitafeli kwenye muziki
Meneja wa wasanii na diwani wa Kilungule #MkubwaFella amefunguka kuhusu safari yake kwenye muziki kama meneja kwa kusema marafiki zake walisema atafeli kwenye muziki. Fella am...
15
Muimbaji wa nyimbo za injili afariki akitumbuiza jukwaaji
Muimbaji wa nyimbo za injili kutoka nchini Brazili, Pendro Henrique mwenye umri wa miaka 30 amefariki dunia akiwa jukwaani wakati anatumbuiza Muimbaji huyo amedondoka ghafla a...
14
Swali la mtangazaji lamchukiza Jotter
Mchekeshaji kutoka Nchini Nigeria #BrainJotter ameonesha kuchukizwa na mtangazaji aliyemuuliza kuhusu utajiri wake. #Brain akiwa katika mahojiano aliulizwa kwa sasa utajiri wa...
14
Sababu michezo ya wanawake kuvunjwa mwezi Disemba
Ukiachana na ile kausha damu kumekuwa na michezo mingi yenye manufaa kwa wanawake ambayo hucheza kwa kuwekeza pesa zao, kukopeshana na kisha faida kugawana baadaye, utaratibu ...
14
T Touchez, Madee wakalia kuti kavu BASATA
Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) limefungia wimbo wa mwanamuziki Madee alioachia siku ya jana tarehe 13 Disemba, kutokana na wimbo huo kukiuka maadili. Kwa mujibu wa barua il...
14
Beki wa Chelsea bado sana uwanjani
Beki wa ‘klabu’ ya #Chelsea, #ReeceJames ameendelea kupitia wakati mgumu kwani anatarajia kukaa nje ya uwanja hadi Februari mwakani baada ya kuumia tena. Beki huyo...
14
Cr7 aongoza kutafutwa Google
Mchezaji wa ‘klabu’ ya Al Nassr Cristiano Ronaldo, siyo tu anaongoza kwa kufuatiliwa zaidi kwenye mtandao wa Instagram pia ni mchezaji ambaye anaongoza kutafutwa z...
14
Man City yahofiwa kuizuia Madrid kuchukua ubingwa
Meneja wa ‘soka’ kutoka nchini #Italia, #CarloAncelotti aitaja ‘timu’ ya #MachesterCity kuwa ndiyo inaweza kukipa changamoto kikosi chake cha #RealMadr...
14
Aliyekuwa meneja wa Facebook akiri kutumia hela za kampuni kula bata
Aliyekuwa Meneja wa programu za Facebook, Barbara Furlow-Smiles, akiri kosa la ulaghai baada ya kuiba zaidi ya dola 4 milioni kuto...
14
Rapa Flocka amfananinisha Doja Cat na Madonna
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani Waka Flocka amedai kuwa mwanamuziki Doja Cat ndiye Madonna wa zama hizi akimaanisha kuwa maisha anayoishi ‘rapa’ Doja ndi...
14
Emoji kumi bora zilizotumika zaidi 2023
Watumiaji wengi wa smartphones wamekuwa na utaratibu wa kuambatanisha jumbe wanazotuma na emoji mbalimbali, huku zikiwa na maana ya kuwakilisha hisia zao. Ikiwa zimebaki wiki ...
14
Naira amgeuzia kibao muigizaji iyabo kisa kifo cha Mohbad
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria #NairaMarley ametishia kumshtaki muigizaji kutoka nchini humo #IyaboOjo kwa madai ya kumchafua kwa kuchapisha habari za uongo kipindi akikabi...
13
Mamba mweupe rangi nyeupe apatikana
Siku zote waswahili wanasema ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni, na msemo huu unajidhihirishia kwa mamba huyu mweupe ambaye ni nadra sana kuonekana. Kulingana na ripoti k...

Latest Post