Burna Boy kuandika historia tuzo za Grammy

Burna Boy kuandika historia tuzo za Grammy

Mwanamuziki kutoka nchini #Nigeria, #BurnaBoy anatarajia kutumbuiza kwenye sherehe ya ugawaji Tuzo za #Grammy2024 zitakazofanyika Februari 4 katika ukumbi wa #Crypto nchini Marekani mjini Los Angeles.

Burna Boy anaweka historia kuwa msanii wa kwanza kutoka Afrika kutumbuiza katika Tuzo za Grammys ambapo mwaka 2021 aliwahi kushinda tuzo hizo katika kipengele Albamu bora ya muziki wa Grobal ‘Destiny’.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags