Mhandisi wa Google matatani, Tuhuma za mauaji

Mhandisi wa Google matatani, Tuhuma za mauaji

Mhandisi wa Program za #Google anayefahamika kwa jina la Liren Chen anatuhumiwa kumpiga mkewe hadi kumuua nyumbani kwake nchini Marekani.

Kwa mujibu wa New York Post Mhandisi huyo mwenye umri wa miaka 27 anadaiwa kumuua mkewe aliyetambulika kwa jina la Xuanyi Yu, hadi sasa bado uchunguzi unaendelea na haijafahamika sababu ya Liren kufanya tukio hilo.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags