Utafiti wa hivi karibuni wa mtafiti Randall Bell umegundua kuwa watu wanaotandika vitanda vyao kila asubuhi wakiamka wana uwezekano mkubwa wa kuwa mamilionea.Bell amegundua ku...
Ikiwa ni masaa matano yamepita tangu rapa kutoka nchini Marekani Nicki Minaj kuachia albumu yake mpya ya ‘Pink Friday 2’ sasa albumu hiyo ina-trend kupitia platfor...
Mtangazaji wa Shirika la Habari #BBCnews aitwaye Maryam Moshiri ameomba radhi baada ya kuonekana akionesha kidole cha kati wakati akiwa live kwenye Tv, na kupelekea watu kutaf...
mwanamke mwenye umri wa miaka 26 anashikiliwa na polisi kwa kutaka kuchoma nyumba aliyozaliwa na kukulia Martin Luther King Jr. kwenye barabara ya Auburn, Atlanta.
Inaelezwa k...
Kwenye tasnia ya burudani anaye-trend sasa ni DJ Misso Misondo ambaye kwa sasa ‘upepo’ umemgeukia na kila kona unayopita lazima utamsikia,'Umepigaje hapo'. Misso a...
Mwanamuziki kutoka nchini #Marekani #KodakBlack amekamatwa na Polisi baada ya kukutwa na dawa za kulevya aina ya #Cocaine pamoja na mashtaka mengine zaidi.
'Rapa’ huyu s...
Mshambuliaji wa zamani wa Yanga SC, #FistonMayele anayeichezea Pyramids FC ya Misri kwa sasa, ameingia kwenye tatu bora ya mchezaji wa mwaka Afrika.
Mayele ameingia katika kip...
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani, #CardiB adai kufunguka kuhusu maisha yake ifikapo mwaka 2024, baada yeye na mumewe Offset kutofautiana na kufutiana urafiki Instagra...
‘Klabu’ ya #NottinghamForest inadaiwa kuwa ipo mbioni kumfuta kazi mwalimu #SteveCooper kufuatia kipigo cha magoli 5-0 dhidi ya timu ya #Fulham kwenye mchezo wa Li...
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani, #PDiddy na wenzake wawili wamefunguliwa mashitaka mapya jana siku ya Jumatano, kwa madai ya kumbaka binti wa miaka 17.
Jarida la Rolling St...
Muigizaji kutoka nchini Marekani, #AngelinaJolie ameeleza kuacha kuigiza kwa sababu ya mzozo wa talaka kati yake na aliyekuwa mumewe Brad Pitt.
Mwigizaji huyu mwenye umri wa m...
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani, #Quavo ametambulisha kitabu chake cha Mapishi kinachoitwa ‘Huncho Farms’ kilichowasilishwa na taasisi yake mpya ya #Quav...
Asilimia kubwa ya wakazi wa jiji la Dar es salaam wanaishi kwenye nyumba za kupanga, lakini baadhi yao wamekuwa wakikutana na vioja mbalimbali kwenye nyumba hizo au kwa wenyen...