Mvulana mwenye umri wa miaka kumi aitwaye Teddy kutoka Peppard, Oxfordshire, ametuma ombi kwa kampuni ya Apple akiitaka kubadili emoji iliyovaa miwani inayofanana na yake aina...
Meli kubwa zaidi duniani ya kitalii iitwayo "Icon of the Seas" inatarajia kuanza safari Januari 27, 2024, kutoka PortMiami nchini Marekani, na itaanza kwa ziara ya siku saba y...
Naibu Waziri, Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma amesema kuwa kung’oa viti uwanjani ni uhuni kama uhuni mwingine na wanaofanya uharibifu huo watach...
Afisa Habari na Mawasiliano wa ‘klabu’ ya #SimbaSC, #AhmedAlly amedai kuwa ‘klabu’ ya #Wydad ni mnyama mkali aliyesinzia hivyo wanatakiwa kujiandaa kuk...
‘Jezi’ ya ‘klabu’ ya #Yanga imetumika kwenye video ya promo ya michuano ijayo ya mataifa ya Afrika #AFCON, inayotarajiwa kufanyika nchini Ivory Coast k...
Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limeiondolea ‘klabu’ ya #Simba adhabu ya kufungiwa kusajili wachezaji baada ya kuilipa ‘klabu’ ya #Teu...
Aliyekuwa msanii wa kundi la The Mafik #RhinoKing ametangaza kuacha kuimba nyimbo za kidunia na kuhamia kwenye injili.
Msanii huyo ameyasema hayo leo kwenye uzinduzi wa ...
Katibu Mkuu wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa amedai kuwa amechoka kukaa na pesa za Mhe. Rais Samia Suluhu ambazo ametoa kama zawadi kwa ajili ya ‘klabu&rsqu...
Baadhi ya watu maarufu duniani wamekuwa wakitamani na wengine kuwekeza kwenye umiliki wa ndege binafsi, wapo baadhi ya wanamuziki ambao tayari wanamikili vyombo hivyo vya usaf...
Ndege ambayo ilikuwa njiani kutoka Munich, Ujerumani kuelekea Bangkok, ambao ni Mji Mkuu wa Thailand, imelazimika kutua kwa dharura katika Uwanja wa Ndege wa Indira Gandhi nch...
Muigizaji mkongwe kutoka nchini Marekani Macaulay Culkin aliyetamba na filamu ya Home Alone ametunukiwa nyota ya heshima ya Hollywood Walk of Fame jijini Los Angeles.Macaulay ...
Amani Mollel, ambaye alikuwa ni bwana harusi mtarajiwa wa Rehema Chao, (wa kwanza kulia), akiwa amebeba msalaba wa mpendwa wake aliyefariki ajalini wailayani Mwanga, Mkoani Ki...