Sancho atambulishwa Dortmund

Sancho atambulishwa Dortmund

Baada ya kuzuka tetesi kuhusiana na mchezaji wa Manchester United, Jadon Sancho kurudi kwenye ‘timu’ yake ya zamani kwa mkopo hatimaye ‘klabu’ hiyo ya Borussia Dortmund imemtambulisha mchezaji huyo.

Sancho atakiwasha katika ‘klabu’ ya Dortmund akivalia jezi namba 10.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags