Davido kuchunguzwa

Davido kuchunguzwa

Jeshi la Polisi nchini Nigeria limeanza uchunguzi dhidi ya mkali wa #AfroBeats, Davido ambaye anatuhumiwa kumpa vitisho na kmufanyia ukatili wa kimwili, msanii mwenzie #TiwaSavage.

Inadaiwa ‘mastaa’ hao walianza kukosa maelewano Desemba 2023 baada ya Tiwa Savage ku-post picha akiwa na mmoja wa Mama Watoto wa #Davido kupitia ukurasa wake wa Instagram.

Kufuatiwa na shutuma hizo Davido mpaka sasa hajajibu chochote.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags