Staa wa x-men, Casto afariki dunia

Staa wa x-men, Casto afariki dunia

Muigizaji na mwanamuziki kutoka nchini Mexico #AdanCanto aliyefahamika zaidi kupitia filamu yake ya ‘X-Men: Days of Future Past na Agent Game’ amefariki dunia akiwa na miaka 42.

Kwa mujibu wa mwandishi wa habari kutoka #AP, Jennifer Allen ameweka wazi kuwa muigizaji huyo amefariki baada ya kusumbuliwa na maradhi ya saratani aina ya ‘appendiceal’ ambayo alifanya kuwa siri.

#AdanCanto ameacha mke itwaye Stephanie Ann Canto, na watoto wawili ambao ni Roman na Eve.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags