09
Rais Samia aivunja bodi ya mawasiliano
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kuivunja Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) iliyokuwa ikiongozwa na Mwenyekiti wa...
08
Mwakinyo kuingia ulingoni Zanzibar
Licha ya kufungiwa mwaka mmoja na Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania Bara (TPBRC), bondia Hassan Mwakinyo ameibukia visiwani Zanzibar na anatarajiwa kuingia ulingoni Novem...
08
Dj khaled afikiria kufanya kolabo Burna Boy
Inadaiwa kuwa mwanamuziki kutoka nchini Marekani #DJKhaled amepanga kumshirikisha msanii kutoka #Nigeria, #BurnaBoy kwenye Album yake ijayo ya 'Til Next Time' iliyopangwa kuac...
08
Chris Brown kuja na surprise za kutosha kwenye 11:11
Mwanamuziki kutoka nchini #Marekani, #ChrisBrown amedai kuwa amewaandalia mashabiki zake Surprise za kutosha katika Album yake mpya ya 11:11 inayo tarajiwa kutoka Novemba11 mw...
08
Joeli: Nyimbo zangu zinaondoa stress
Mwanamuziki wa nyimbo za #Gosperl nchini, #JoelLwaga amedai kuwa nyimbo zake zinaponya watu na kuondoa stress. Kufuatia mahojiano yake na moja ya chombo cha habari msanii huyo...
08
Calm Down remix yaendelea kung’ara
Remix ya wimbo wa msanii kutoka Nigeria, #Rema aliyo mshirikisha #SelenaGomez, ya ‘Calm Down’ imefikisha jumla ya watazamaji milioni 701 mjini #YouTube. Wimbo huo ...
08
Wezi walioiba choo cha dhahabu kizimbani
Wanaume wanne wameshtakiwa kwa wizi wa choo cha dhahabu chenye thamani ya £4.8 milioni katika jumba la #Blenheim, #Oxfordshire nchini #Uingereza. Wizi huo ulifanyika Sep...
08
Ajiua kisa picha zake kusambaa
Meya  kutokea jimbo la Alabama nchini Marekani anayefahamika  kwa jina la #Copeland, amefariki kwa kujiua ‘wiki’ iliyopita baada ya kusambaa picha zake z...
08
Mashabiki wa Dortmund warusha dhahabu bandia uwanjani
Mashabiki wa ‘Klabu’ ya Borussia Dortmund walifanya maandamano katika ‘mechi’ ya Dortmund dhidi ya Newcastle iliyochezwa usiku wa kuamkia leo kwa kurus...
08
Kunguni waibukia Korea Kusini
Ni wiki kadhaa zimepita tangu wadudu aina ya Kunguni kutawala jiji Paris nchini Ufaransa, wadudu hao wamegeuza muelekeo na kuibukia nchini Korea Kusini. Kwa mujibu wa BBC imee...
08
Sabaha: Watoto wangu wanatamani niache muziki
Msanii mkongwe wa muziki wa taarabu #SabahaSalum amedai kuwa watoto wake wanasauti nzuri ya kuimba lakini hawapo tayari na wanaomba Mungu aache kuimba taarabu. Akizungumza na ...
08
Afariki baada ya kutumia dawa za kupunguza uzito
Mwanamke mmoja kutoka nchini Austalia aliyejulikana kwa jina la Trish Webster, amefariki dunia baada ya kutumia dawa za kupunguza uzito ili aweze kuvaa gauni la ndoto yake kat...
08
Aliyetaka kumteka mtoto wa Neymar akamatwa
Kijana wa miaka 20 anashikiliwa na polisi baada ya jaribio la kutaka kumteka mtoto wa kike wa mchezaji kutoka ‘Klabu’ ya Al Hilal, #Neymar baada ya kuvamia nyumba ...
08
Billnass achukua muongozo wa maadili BASATA
Baada ya kufungiwa miezi mitatu kwa kutojihusisha na kazi za sanaa na ‘faini’ ya milioni tatu  mwanamuziki #Billnass naye amefika Baraza la Sanaa Taifa #BASAT...

Latest Post