Diamond awapiga wambea na kitu kizito

Diamond awapiga wambea na kitu kizito

Baada ya ku-share taarifa kupitia Instastory yake kuhusu kuwa single mwanamuziki Diamond, ametengua kauli hiyo kwa kueleza kuwa hayupo single bado anaendelea kula raha hubani.

Dakika chache zilizopita kupitia InstaStory yake Diamond amewapa pole watu wote  waliokuwa wakishadadia uhusiano wake kuvunjika kwani hayuko single bado anaendelea kula raha hubani kutoka kisiwa na kitongoji cha karafuu.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags