Muigizaji na #Producer maarufu kutoka nchini #Marekani, #MorganFreeman ameweka wazi sababu ya kila wakati kuonekana akiwa avaa hereni, saa na pete za ...
Kama unadhani duniani umeona kila kitu, utakuwa unajiongopea kwani kila siku yanaibuka mambo mpya huku yapo ya zamani pia ambayo bado huyafahamu. Katika ulimwengu ni nadra san...
Inadaiwa kuwa ifikapo mwaka 2025, Tuzo maarufu duniani za Grammy zanatarajiwa kufanyika nchini Rwanda. Inaelezwa kuwa CEO wa Grammy, Harvey Mason Jr mwaka 2022 alitembelea nch...
Mwanamuziki na muigizaji nchini #MimiMars amedai kuwa hawezi kugombana mwanamke mwenzake kisa mwanaume niaibu kwake kwa jinsi alivyolelewa.
Akizungumza na waandishi wa habari ...
Baada ya kukaa langoni kwa dakika 630 na kuisaidia ‘timu’ yake kuongoza msimamo wa ‘Ligi’ Kuu Bara, mlinda mlango namba moja wa #Yanga, #DjiguiDiarra a...
Kwa mujibu wa shirika la kutoa misaada la kibinadamu la The Charities Aid Foundation (CAF) imetaja kuwa Kenya ndiyo nchi inayoongoza kwa ukarimu Afrika.
Ambapo imetajwa kuwa n...
Wabunge waonesha nia ya kutaka kumsaidia aliyewahi kuwa Mbunge wa Mikumi kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ambaye pia ni mwanamuziki wa Hip Hop, Josep...
Mchezaji wa ‘Klabu’ ya Simba Clatous Chota Chama ametoa ushauri kufuatia yanayo endelea katika ‘timu’ yake kwa kueleza kuwa kwa sasa haina haja ya wao ...
Ikiwa zimepita siku chache tangu ‘rekodi’ ya mpishi maarufu kutoka Nigeria Hilda kuvunjwa amedai kuwa kwenye roho yake na historia atabaki kuwa mmiliki wa rekodi h...
Winga wa ‘klabu’ ya #ManchesterUnited, #JadonSancho kwa upande wake mambo yanazidi kuwa makubwa kila kukicha huku muafaka baina yake na ‘kocha’ wa &lsq...
Baada ya kuipeperusha Bendera ya Tanzania katika Tuzo ya #MTVEMA 2023 msanii Diamond ameendelea kuitabiria makubwa Tanzania kwa kudai kuwa soon bendera hiyo itakuwa katika Tuz...
Mwigizaji maarufu kutoka nchini #Nigeria, #ReginaDaniels amezua gumzo mitandaoni baada ya kudai kuwa yuko tayari kumtolea figo mumewe Mh.NedNwoko ili apone na aendelee kuishi ...
Wanamuziki kutoka nchini #Marekani, #RickRoss na #MeekMill wameachia Tracklist ya Albamu yao ya pamoja 'Too Good to Be True' ambayo itatoka rasmi Ijumaa, Novemba 10 mwaka huu....