Mwalimu mdogo zaidi, ana umri wa miaka 16

Mwalimu mdogo zaidi, ana umri wa miaka 16

Binti mwenye umri wa miaka 16, Shania Muhammad, kutoka Oklahoma City amevunja rekodi ya kuwa mwalimu mdogo zaidi wa kulipwa nchini Marekani, akifundisha darasa la tatu

Shania alihitimu akiwa na miaka 15 ana 'digrii' tatu, alimaliza miaka miwili ya Mafunzo ya Kitaifa ya Maendeleo ya Ualimu kupitia Taasisi ya Thurgood Marshall. Shania pia anatafuata Shahada ya Uzamili katika Utawala wa Biashara






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags