Alex atengeneza suti ya Iron Man

Alex atengeneza suti ya Iron Man

Alex Burkan ambaye ni mhandisi na YouTuber kutoka Russia, ametengeneza 'suti' halisi ya kishujaa yenye muundo wa ile iliyoonekana kwenye filamu ya iron man.

Suti hiyo inajumuisha mlipuko wa kurudisha vitu nyuma, unaoiga saini ya Iron Man. Inaelezwa kuwa huenda ikaanza kutumiwa katika baadhi ya filamu.

Filamu ya 'iron man' ilitoka mwaka 2008 ikiwa chini ya usimamizi wa Marvel Studios






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags