Ruger atemana na lebo yake

Ruger atemana na lebo yake

Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Ruger anadaiwa kuachana na ‘lebo’ iliyokuwa akifanya nayo kazi ya ‘Jonzing World’.

Hii inakuja baada ya msanii huyu kuondoa jina la kampuni hiyo kwenye ukurasa wake wa Instagram na kisha ku-unfollow. Aidha Ruger kupitia ukurasa wake huo ameweka kwenye bio yake jila la ‘lebo’ mpya ambayo huenda akafanya nayo kazi iitwayo ‘Blown Boy’.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags