Huu ndiyo muonekano wa ofisi ya Kim Kardashian

Huu ndiyo muonekano wa ofisi ya Kim Kardashian

Mfanyabiashara kutoka nchini Marekani Kim Kardashian ameonesha sehemu mbalimbali za ofisi yake, ambapo moja ya kitu anachokithamani ni mdoli (mannequin) aliyetengenezwa kwa vipimo vyake.

Ofisi hiyo pia inatoa huduma za kipekee kama vile kitanda (Tanning bed), sehemu ya product zake, ukuta wa Tv unaoonesha matukio yake mbalimbali ya urembo na ukuta uliobandikwa ‘kava’ za magazine.

Kitanda cha kuoka (Tanning bed) hutoa mionzi ya ‘ultraviolet’ ili kufanya ngozi kuwa nyeusi’, kuyeyusha mafuta mwilini na matumizi mengine.

Kutizama video hiyo kupitia page ya Instagram ya @Mwananchiscoop






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags