Mbwa aliyeshika rekodi ya dunia kuchunguzwa

Mbwa aliyeshika rekodi ya dunia kuchunguzwa

Rekodi ya dunia ya ‘Guinness World Records’ imesitisha taji la mbwa kutoka nchini Ureno aliyetambulika kwa jina la Bobi, ambaye alishika rekodi hiyo mwaka jana Febuari ya kuwa ndiye mbwa mzee kuwahi kutokea duniani akiwa na miaka 31 baada ya madaktari wa mifugo duniani kutilia shaka rekodi hiyo.

Imeelezwa kuwa wanaosimamia rekodi hiyo wameanzisha uchunguzi wa mbwa huyo aina ya Rafeiro do Alentejo ambao wastani wao wa kuishi ni miaka 12 hadi 14. Bobi alifariki mwezi Oktoba mwaka jana akiwa na umri wa miaka 31 na siku 165.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudiNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags