Kanye west aweka meno ya 2 bilioni

Kanye west aweka meno ya 2 bilioni

‘Rapa’ kutoka nchini Marekani Kanye West ametingisha mitandao ya kijamii baada ya kuonekana akiwa na meno ya ‘grills’ yenye thamani ya dola 850,000 sawa na shilingi 2.1 bilioni .

Kupitia mtandao wa Instagram nyota huyu ame-share picha ikimuonesha akiwa na meno hayo na kisha kuweka picha za muigizaji kutoka nchini humo #JamesBond akiwa na meno hayo pia, ambazo ndizo zimemshawishi Kanye kuweka.

Picha za #JamesBond, ambazo Kanye ame-share ni zile ambazo zinamuonesha muigizaji huyo akiwa na meno ya aina hiyo kwenye movie ya ‘the spy who loved me’ iliyotoka mwaka 1997 na ‘moon raker’ ya mwaka  1979.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags