Asimama kwa saa nne ashindwa kuvunja rekodi

Asimama kwa saa nne ashindwa kuvunja rekodi

Mwanaume mmoja kutoka nchini #Ghana, aitwaye Patrick Amenuvor ameshindwa kuvunja rekodi ya dunia (Guinness World Record) ya kusimama muda mrefu zaidi.

Amenuvor alianza kusimama Januari 14 kwa lengo la kuvunja rekodi, lakini aliweza kudumu kwa saa 4 tu tangu aanze zoezi hilo, ambalo alilenga lifanyike kwa siku saba. Mwanaume huyo baada ya kushindwa amedai kuwa alikiuka sheria ya challenge hiyo bila kukusudia.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags