Mo Dewji atoa ushauri, jezi ya Taifa Stars

Mo Dewji atoa ushauri, jezi ya Taifa Stars

Rais wa ‘klabu’ ya Simba, Mohammed Dewji amependekeza Bendera ya Tanzania iwekwe katika ‘jezi’ za ‘timu’ ya Taifa kwa lengo la kuonesha uzalendo.

Kupitia ukurasa wake wa X (Twitter) Dewji ameandika

“Taifa Stars tujifunze kuwa wazalendo angalau tuweke bendera ya Tanzania kwenye ‘jezi’, nawaomba Simba pia tufanye hivyo kwenye mashindano ya kimataifa”
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags