Michael Jackson miaka 60 iliyopita

Michael Jackson miaka 60 iliyopita

Tazama mbwembwe za michael Jackson akitumbuiza wimbo uitwao 'I Want You Back'. Video hii alikuwa na umri wa miaka mitano.

Michael Jackson alizaliwa August 29, 1958 na kufariki dunia June 25, 2009. Mfalme huyu wa Pop kama angekuwepo hadi sasa, mwezi August angekuwa anafikisha miaka 66.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags