Jordan arudisha majeshi Ulaya

Jordan arudisha majeshi Ulaya

‘Klabu’ ya #AjaxAmsterdam ya nchini #Uholanzi imefikia makubaliano ya kumsajili nahodha wa zamani wa ‘klabu’ ya #Liverpool, #JordanHenderson kwa mkataba mpaka Juni 2026.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 33 raia wa England anarejea Ulaya ikiwa ni miezi sita tangu aende katika ‘klabu’ ya Al Ettifaq ya Saudi Arabia akitokea ‘klabu’ ya #Liverpool.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags