Chris Brown amtolea povu shabiki

Chris Brown amtolea povu shabiki

Mwanamuziki kutoka nchini Marekani, #ChrisBrown amjia juu shabiki aliyesema kuwa hataki mwanaume aliyezaa na mwanamke zaidi ya mmoja.

Hii inakuja baada ya Brown ku-share picha kupitia ukurasa wake wa Instagram akiwa na watoto wake watatu, ndipo shabiki akaamua kukomenti kwa kueleza kuwa hapendi mwanaume aliyezaa na wanawake wengi.

Aidha Brown alimjibu kwa kumuuliza swali “Nani kasema nilikuwa naajiri kina mama?, acha kusema hivyo kama vile ulikuwa na nafasi”

Watoto wote watatu wa #ChrisBrown amezaa na mama tofauti ambao ni Royalty Brown (aliyezaliwa na Nia Guzman-Amey), Aeko Catori Brown (Ammika Harris) , Lovely Symphani Brown mama yake akiwa ni Diamond Brown.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags