Mchekeshaji na muandishi wa habari kutoka Afrika Kusini Trevor Noah ameendelea kuupiga mwingi baada ya kuwavutia wengi kupitia mitandao ya kijamii kwa kujaza mashabiki katika ...
Aliyekuwa mke wa muigizaji Will Smith, Jada amesema kuwa yeye na Will wataishia kutengana na siyo kuachana.
Kufuatia mahojiano yake na Drew Barrymore siku ya jana Jumanne mwan...
Mwanamuziki #ChristianBella amesema kuna wakati alitaka kukata tamaa na kutaka kurejea nchini Congo baada ya mambo yake kuwa magumu Tanzania.
Msanii huyu ameeleza kuwa mwanzon...
Kufuatiwa na tuhuma za unyanyasaji wa kingono zinazo mkabili mwanamuziki Diddy, sasa msanii huyo amejiuzulu cheo chake cha uwenyekiti katika kampuni ya KEVOLT.
Kulingana na ta...
Ikiwa zimepita wiki mbili tangu msanii Naira Marley na ‘promota’ Sam Larry kuachiwa huru baada ya kutimiza masharti ya dhamana ya Naira milioni 20 ambayo ni zaidi ...
Baada ya kutamba katika ngoma zao kadhaa ikiwemo ‘Godwin’ na ‘Mungo Park’ hatimaye wanamuziki kutoka nchini Nigeria Korede Bello na Don Jazzy wameingia...
Kama tunavyojua ‘Klabu’ ya Simba kwa sasa bado haina furaha baada ya juzi kuendeleza ilipoishia kwa kuanza kinyonge Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi ikilaz...
Mwanaume mmoja aliyekuwa abiria ndega ya shirika la Southwest mwenye umri wa miakia 38 amepelekwa hospitali kufanyiwa matibabu baada ya kuruku kwa kupitia mlango wa dharura wa...
Msanii wa muziki kutoka nchini Marekani, #KanyeWest inadaiwa kuwa anataka kununua mkataba wa #LilDurk baada ya onesho la pamoja walilofanya nchini Dubai.
Inaelezwa kuwa Kanye ...
Baada ya kuzuka tetesi kuhusiana na mwanamuziki wa kike kutoka nchini Nigeria Teni, kuwa amefanya surgery ya kupunguza tumbo, mwanadada huyo amekanusha uvumi huo kwa kueleza k...
Serikali nchini #Australia inadaiwa kuwa na mpango wa kupiga marufuku uingizaji na utumiaji wa #Vipes ifikapo Januari 2024, ikiwa ni sheria mpya za kukomesha ‘vape...
Askari wa zamani na mwanariadha nchini Thailand, Chaturong Suksuk mwenye umri wa miaka 29 amewaua watu wanne kwa kuwapiga risasi akiwemo mke wake mwenye umri wa miaka 44 aliye...
Ikiwa ni muendelezo wa ziara ya ‘rapa’ kutoka nchini Marekani 50 Cent, ya ‘Final Lap Tour’ sasa anafikiria kutua Africa muda wowote kwa ajili ya show.
...