Barabara ya kwanza ya umeme imetengenezwa, Inachaji magari yakitembea

Barabara ya kwanza ya umeme imetengenezwa, Inachaji magari yakitembea

Jiji la Detroit liliopo nchini Marekani limeanzisha barabara ya kwanza ya umeme inayoweza kuchaji magari yanayotumia umeme (EVs) yanapoendeshwa.

Teknolojia hii hutumia coil za kuchaji kupitia kifaa kilichowekwa chini ya barabara, wa ajili ya kuwezesha magari ya umeme yaliyo vipokezi kuchaji pindi linapoendeshwa bila ya kuegeshwa sehemu.

Mradi huu wa majaribio umeanzishwa na Electreon Wireless Ltd, kampuni yenye makao makuu nchini Israel, ikiwa ni sehemu ya mpango wa kuendeleza teknolojia ya magari ya umeme na miundombinu.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags