Nay wa mitego: mlioko kitaa msitamani maisha ya ma-star

Nay wa mitego: mlioko kitaa msitamani maisha ya ma-star

Mwanamuziki wa hip-hop Nay Wa Mitego amewataka vijana ambao bado wako kitaani kuacha kutamani maisha ya Ma-star.

Nay ameyasema hayo kupitia Instastory yake kwa kuwashauri vijana ambao wanapambani ili waishi kama ‘ma-star’ wa bongo kwani maisha wanayoishi watu hao maarufu mitandaoni asilimia 90 ni yauongo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags