30
Ngono zembe yaongeza kasi maambukizi ya VVU kwa vijana
Chuo kikuu cha Aga Khan jijini #Nairobi nchini Kenya kimebaini kufanya ngono zembe kwa vijana kumeongeza kasi ya maambukizi ya nchini humo. Kwa mujibu wa taarifa kutoka katika...
30
Mchezaji Marcus anusurika kifo
Mchezaji wa zamani wa ‘klabu’ ya #Tottenham #MarcusEdwards amenusurika kifo baada ya kupata ajali wakati akielekea mazoezini akiwa katika gari aina ya Range Rover ...
30
Kisa usaliti Neymar na mpenzi wake waachana
Mwanasoka kutoka nchini #Brazil, #NeymarJr na mpenzi wake, #BrunaBiancardi wanadaiwa kuwa wametengana mwezi mmoja tu baada ya kupata mtoto wao wa kwanza. Kwa mujibu wa vyombo ...
30
Naira Marley na Sam wapambana kurudisha heshima yao
Mwanamuziki kutoka nchini #Nigeria #NairaMarley, na promota #SamLarry baada ya jana kuonekana kwa mara ya kwanza tangu kuachiwa kwao, waawili hao waliamua kutoa sadaka kwa wat...
30
Harmonize na Mr Tabulele waingia studio
Baada ya kutua katika jiji la Dar es salaam usiku wa kuamkia leo mwamuziki kutoka #Congo anaetamba #Bongo kupitia wimbo wake wa ‘Tabulele’, sasa msanii huyo tayari...
30
Mashabiki wamjia juu kipa wa Man U
Baadhi ya mashabiki wa Manchester United wamemjia juu golikipa, Andre Onana wakidai ndio chanzo cha kutoka sare 3-3 katika mechi ya UEFA dhidi ya Galatasaray. Katika mitandao ...
29
Ramos bora angekubali kadi ya njano
Katika mchezo kati ya ‘klabu’ #Sevilla dhidi ya #RealSociedad inadaiwa kuwa mchezaji wa ‘klabu ya Sevilla, #SergioRamos alimuomba muamuzi akaangalie kwenye V...
29
Marufuku kuingia bungeni na kaunda suti
Bunge nchini Kenya limepiga marufuku uvaaji wa suti iliyopewa jina la aliyekuwa Rais wa Zambia marehemu Kenneth Kaunda ndani ya jengo hilo. Spika wa Bunge, Moses Wetangula ame...
29
Wanamuziki wa Nigeria watamba Ghana
Mtandao wa kusikiliza muziki wa ‘Apple Music’ kutoka nchini Ghana umetoa orodha ya ngoma 10 bora ambazo zimesikilizwa zaidi nchini humo kwa mwaka 2023 ambapo ngoma...
29
Burna boy, Wizkid na Skepta waingia studio
Wasanii kutoka nchini Nigeria, Burna Boy, Wizkid na Skepta wameingia studio kwa mara ya kwanza huku wakionekana kila mmoja akiiingiza voko zake. Hii itakuwa ni ngoma ya kwanza...
29
Refa wa Mauritania kuzihukumu Al ahly na Yanga
Abdel Aziz Mohamed Bouh kutoka Mauritania, ndiye refa aliyepangwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) kuchezesha mechi ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika ...
29
Baraka: Nimechoka kuonekana mbaya, Nafanyiwa figisu
Msanii wa bongo fleva Barakah The Prince ameendelea kuuwasha moto kupitia mitandaa ya kijamii na leo amedai kuwa ataweka wazi figisu zote alizowahi kufanyiwa toka mwaka 2016. ...
29
Khaligraph amtaka 50 Cent atue Kenya
 Kufuatiwa na post ya ‘rapa’ kutoka nchini Marekani 50 Cent kuuliza mashabiki ni sehemu gani aanze kwenda ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya ‘Final La...
29
The Mafik warudi tena, Waanza na Mungu
Baada ya ukimya wa miaka minne, hatimaye kundi la muziki The Mafik limerejea rasmi likiwa na wasanii wanne huku watatu wakiwa wapya na msanii #Hamadai pekee ndiye msanii wa za...

Latest Post