Gari la Pharrell lageuka kivutio

Gari la Pharrell lageuka kivutio

Gari aina ya #Cybertruck la mwanamuziki kutoka nchini Marekani Pharrell Williams lageuka kivutio kwa watembea kwa miguu kufuatiwa na muonekano wake kuwa tofauti.

Tukio hilo limetokea wakati mkali wa ngoma ya ‘Happy’ alipokuwa akielekea katika uzinduzi wa ‘Spring Summer 2024’ kwenye duka la Louis Vuitton ambapo kufuatiwa na ukubwa wa gari hilo alishindwa kuli-pack katika sehemu ya magari na kuliacha barabarani, jambo ambalo watembea kwa miguu walishindwa kuzuia macho yao kwa kulitizama na kulipiga picha.

#Pharrell ambaye ni Mkurugenzi wa Ubunifu wa mavazi ya kiume katika Kampuni ya #LouisVuitton, alikuwa miongoni mwa watu mashuhuri wa kwanza kupata gari hilo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags