Ariana atangaza kurudi mchezoni

Ariana atangaza kurudi mchezoni

Baada ya kukaa kimya kwa takribani miaka mitatu bila kuachia wimbo, mwanamuziki kutoka nchini Marekani #ArianaGrande ametangaza kuja na ngoma mpya iitwayo ‘Yes Or?’ January 12,2024

Mwanamuziki huyo mwenye umri wa miaka 30 amewahi kutoa nyimbo kama ‘7Rings’, ‘Position’, ‘Bang bang’, ‘Slide to slide’, ‘Focus’, ‘One last time’, na nyengine nyingi.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags