Solar panel zinazotumika kama vioo madirishani

Solar panel zinazotumika kama vioo madirishani

Chuo cha École Polytechnique Fédérale de Lausanne, kilichopo Uswizi kivumbua solar Panel za kuangaza zenye muonekano wa kioo.

Lengo la kuvumbua aina hii ya solar panel ni kupunguza gharama kwani zinauwezo wa kutumiwa kama vioo vya madirishani kwenye majengo au magari wakati huohuo zikiwa zinazalisha nishati






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags