Maisha ya msoto ya Denzel, aliwahi kukosa hadi sh200 ya kula

Maisha ya msoto ya Denzel, aliwahi kukosa hadi sh200 ya kula

Mwalimu wa mazoezi Godfrey Mkinga maarufu (Denzel) amesimulia maisha ya msoto aliyowahi kupitia wakati mwingine hadi kukosa Sh200 ya kula.

Ilimchukua zaidi ya miaka 10 kutafuta maisha ambayo sasa ameyapata. Safari ya utafutaji haikuwa rahisi ila nidhamu, uchapakazi, uthubutu, ujasiri, kutokata tamaa na kujinyenyekeza mbele za Mungu vimemfanya leo kuwa miongoni mwa vijana mashuhuri nchini.

Hivi sasa badala ya jina lake, Godfrey Mkinga, anatambulika zaidi kama #DenzelTrainer, mwalimu maalumu wa mazoezi wa familia ya Rais mstaafu Jakaya Kikwete na watu wengine wenye majina makubwa.

Hayo na mengine mengi usikose mahojiano kamili katika YouTube ya Mwananchi Digital.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags