Mbappe kugeukia upande wa Madrid

Mbappe kugeukia upande wa Madrid

Mchezaji wa ‘klabu’ ya #PSG, #KylianMbappe inadaiwa kuwa amefikia makubaliano na ‘klabu’ ya #RealMadrid kujiunga bila malipo msimu ujao.

Inaelezwa kuwa mshambuliaji huyo amefikia makubaliano hayo ya kujiunga katika ‘timu’ hiyo hivi karibuni ikiwa ni kwa ajili ya mashabiki wake wa muda mrefu.

Ikumbukwe kuwa mchezaji huyo licha ya ‘klabu’ ya #MachesterUnited na #Liverpool kutafuta saini yake pia alikataa ‘ofa’ moja ya ‘rekodi’ ya dunia kutoka nchini Saudi Arabia.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags