Q chief ataka kuweka mambo sawa na TID

Q chief ataka kuweka mambo sawa na TID

Mwanamuziki wa #BongoFleva #Qchief ameweka wazi kuwa mwaka huu hataki tena kuwa na tofauti na msanii mwenzake #TID.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika kuwa wamekuwa hawaelewani na TID kwa muda mrefu bila faida yoyote hivyo haoni umuhimu wa kuendeleza tofauti zao.

Pia Q chief amempongeza TID kwa harakati zake za kimuziki anazozifanya kwa sasa.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags