Davido akubaliana na wanaomfananisha na chura

Davido akubaliana na wanaomfananisha na chura

Baada ya mashabiki na wadau wa muziki kupitia mtandao wa kijamii wa X (twitter) kumtania mkali wa #Afrobeat #Davido kuwa anasauti kama ya chura, #Davido ameamua kukubaliana na jina hilo kwa kutengeneza cheni ya thamani yenye muonekano kama wa chura.

#Davido kupitia ukurasa wake wa #Instagram ame-share video akiwa anaonesha cheni zote anazozimiliki huku akiweka wazi kuwa anavutiwa na kupenda sana vito vya thamani.

.

.

#MwananchiScoop

#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags