Safari ya AFCON yaingia doa, Wakosa hewa kwenye ndege

Safari ya AFCON yaingia doa, Wakosa hewa kwenye ndege

Wachezaji na wafanya kazi wa ‘Timu’ ya Taifa #Gambia wakosa hewa walipokuwa kwenye ndege wakielekea Ivory Coast katika mashindano ya AFCON 2023.

Inaelezwa kuwa wachezaji wa ‘timu’ hiyo wameshangazwa na tukio hilo lililotokea ghafla huku sababu ikitajwa kuwa ni udogo wa ndege waliyopanda na kupelekea kukosa Oxygen.

Tukio hilo lilitokea dakika 9 tu baada ya ndege kuruka na kukwamisha safari hiyo kufuatiwa na hali ya wachezaji wawili kuwa mbaya kwa kukosa hewa.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags