Kijana wa miaka 13 apata shavu Louis Vuitton

Kijana wa miaka 13 apata shavu Louis Vuitton

Kijana wa miaka 13 aitwaye Milan amepata fursa ya mafunzo kwa vijana chini ya miaka 18 katika kampuni ya Louis Vuitton baada ya kusambaa kwa michoro aliyoichora ya ubunifu kwenye mitandao ya kijamii.

Louis Vuitton ilivutiwa na michoro hiyo ambayo ilipostiwa na mama mzazi wa kijana huyo kupitia mtandao wa X.

Kupitia michoro hiyo Milan alichora na ku-design mitindo ambayo bado haijawahi kutoka ikiwemo viatu, nguo za kike na kiume.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags