Mwanasoka wa zamani adai ana mwaka mmoja wa kuishi

Mwanasoka wa zamani adai ana mwaka mmoja wa kuishi

‘Meneja’ wa zamani wa ‘timu’ ya taifa ya Uingereza, Sven-Göran Eriksson ameweka wazi kusumbuliwa na ugonjwa wa saratani huku akidai kuwa amebakiza mwaka mmoja wa kuishi.

Kwa mujibu wa Dailymail News imeeleza kuwa #Eriksson ambaye aliiongoza ‘soka’ la #Uingereza kwa miaka mitano amedai kuwa pamoja na kusalia muda mchache wa kuishi atafanya vitu ambavyo hakuwa kuvifanya hapo awali.

Hata hivyo mwanasoka huyo mwenye umri wa miaka 75 alijiuzulu nafasi yake ya ukurugenzi wa michezo katika ‘klabu’ ya #Karstad miezi 11 iliyopita kutokana na matatizo ya afya.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BrudikdNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags