Beki wa Man City abwagwa na mkewe

Beki wa Man City abwagwa na mkewe

Mke wa mchezaji wa ‘klabu’ ya #ManchesterCity #KyleWalker, #AnnieKilner ametangaza kutengana na mume baada ya kudumu kwa miaka miwili kwenye ndoa.

Kwa mujibu wa The Sun News imeeleza kuwa mwanadada huyo ameamua kuachana na ‘beki’ huyo wa kulia, baada ya kugundua kuwa #Walker anamsaliti na wanawake wengine.

Wawili hao ambao walikuwa katika mahusiano kwa zaidi ya miaka 12 walifunga ndoa Disemba 2021 na kubahatika kupata watoto watatu.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags