Dragusin aielewa Tottenham

Dragusin aielewa Tottenham

Mchezaji kutoka ‘klabu’ ya #Genoa, #RaduDragusin amefikia makubaliano ya kwenda kukiwasha katika ‘timu’ ya #TottenhamHotspur.

Kwa mujibu wa Sky Sports News imeeleza kuwa ‘klabu’ ya #BayernMunich ilijaribu kuizidi kete #Spurs dakika za mwisho lakini nyota huyo aliamua kuheshimu makubaliano ya awali na ‘timu’ hiyo.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags