Kodak akiwa gerezani atuma zawadi kwa mpenzi wake

Kodak akiwa gerezani atuma zawadi kwa mpenzi wake

Licha ya kuwa gerezani ‘rapa’ kutoka nchini #Marekani, #KodakBlack amemfanyia surprise mama watoto wake kwa kutuma zawadi ya gari aina ya Range Rover na kiasi cha pesa tsh 251 milioni.

Mwanamuziki huyo akiwa gerezani alimuagiza mtu wake wa karibu kufikisha zawadi hizo  kwa mama watoto wake. Kodak alihukumia mwaka Jana kifungo cha mwaka mmoja na miezi nane gerezani, baada ya kukutwa na makosa ya utumiaji na uuzaji wa madawa ya kulevya na ulaghai.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags